JIUNGE NA MAPINDUZI YA NOOALF !

Kujua kusoma na kaundika kwa sasa kunawafikia watoto,wahamiaji na wenye shida ya kusoma.kwa njia rahisi sana. Huu mtindo ni wa manufaa kwa yoyote ambaye anataka njia bora ya kuelewa tahajia.

Huu mtindo unajumulisha kurasa zilizofunikwa kwa tabaka,ambazo ni 8X10 zilizo na sampuli ya maneneo katika Nooalf, Kiingereza na Kiispania pamoja na tasfiri zake, 3 PoKITPIKS mini Nooalf tatu na NQaLF ToKING PIKsRZ CD-ROM. Hii mini-disk inapatana vizuri sana na kompyuta yako na ina Kiingereza,Kiispania na Kichina, fonti za .TTF, picha zinazoweza kupigwa chapa. Hapa kila neno lina sauti yake.

Ada ya posta na upakiaji ni bure. Hakuna kodi ya mauzo inayolipwa!

Kununua tumia fomu kwenye mtandao au piga simu
( Sorry, but you must speak English to call )
1 847 845-1767

MaelezoBei
Kiingereza Pekee
Jifunze Nooalf na tahajia ya kwaida ya Kiingereza
$10.00
Kiingereza/Kiispania
Sampli ya maneno yaliyotafsiriwa baina ya Kiispania na Kiingereza
$10.00
NQaLF V2
Hakuna kurasa zilizopigwa chapa. Hii ni bei nafuu kwa yoyote aliye na kompyuta.
$0.00- FREE!

To order, send a check or money order to:
ZOL inc.
28285 w. Oak
Wauconda IL 60084

( Please include a list of the products & quantities you want )


Utapokea order hii baada ya siku 15 kupitia kwa United States Postal Service. Unahakikishiwa kuwa bidhaa hizi zikiwa na kasoro zinaweza kubadilishwa kabla ya siku 30.Bidha hizi zikirudishwa kwa hali nzuri basi fedha zako zote zitarudhishwa. Bidha hizi zina hati ya mwaka mmoja baina ya kasoro katika mali ghafi na ustadi uliotumia kuzitengeneza.


NAFASI BORA YA KAZI!

Wafasiri,waatalamu wa programu za kompyuta,waalimu wanatakikana. Kuna nafasi bora ya kupata riziki kubwa katika huu mpango wa Nooalf.
USIPOTEZE NAFASI!
Bonyeza bahasha hii na unieleze maoni au stori yako.


Nooalf and the Nooalf Revolution are a public service project of ZOL inc. © 2002 - 2004

Utafsiri umefanywa na Martin Mirimo

( LaST UPDAT HaLOWEN 2004 )