Kuweza kusoma na kuandika Nooalf kamili, unahitaji kutayarisha faili ya fonti katika kompyuta yako.
Jinsi ya kuweka fonti ya 2NQ4YQ katika kompyuta.
DoWNLOD 2NQ4YQ.TTF
Weka katika desktop yako ya kompyuta ukifata maagizo haya:
Bonyeza START – SETTINGS – CONTROL PANEL – FONT
Hii itafungua orodha ya fonti katika Windows
Sasa shikilia, ukivuta na halafu wachiliya faili ya 2NQ4YQ.ttf kutoka kwa desktop yako hadi kwa fonti ya Windows
Unaweza kuandika Nooalf halisi kwa programu zote za kompyuta.
Karibu kwa Mapinduzi !
Utafsiri umefanywa na Martin Mirimo
PAJ UPDATID FeBYQeRE 22 2004